Breaking News

HALI TETE HUKO PEMBA!!!! WATU 17 WANUSURIKA KIFO BAADA YA NYUMBA ZAO KUCHOMWA MOTO


 0


HABARI‬ Watu 17 wa familia mbili tofauti wamenusurika kifo baada ya nyumba zao kuchomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa manane wakiwa wamelala ndani, maeneo ya Minanzini, shehia ya Kibirinzi, wilaya Chakechake, Pemba.Mmoja wa mama wa familia hizo, Bikombo Juma na watoto wake, walisema jana kuwa, wakati wakiwa wamelala usiku walishtuka na kuona paa la nyumba yao limeshika moto na kuanza kupiga mayowe ya kuomba msaada.

No comments